Downloads
Notifications
"Education is not a way to escape poverty, it is a way to fight it" - Mwl J. K. Nyerere
Maelezo muhimu wakati wa kupakua ombi la kujiunga na shule yetu
Ukipakua ombi la kujiunga na shule yetu, unaombwa ulipie benki gharama ya fomu ambayo ni shilingi 20,000 |Tazama namba za akaunti za benki|; halafu vocha uilete shuleni katika ofisi ya mhasibu upate risiti na fomu igongwe muhuri. Fomu isiyogongwa muhuri sio halali na haitakubalika na shule. Nje ya hapo usitoe pesa kwa yeyote, hata kwa walimu wetu: malipo ya namna hiyo si halali, hivyo shule haihusiki nayo. Jihadhari sana!
Endelea kupakua ombi la kuandaliwa mtihani wa kidato cha 6 mwaka mmoja 2025 - Masomo ya jioni
Endelea kupakua ombi la kujiunga na kidato cha 5 - 2025