Downloads
Notifications
"Education is not a way to escape poverty, it is a way to fight it" - Mwl J. K. Nyerere
School Events
Ziara
Baba Askofu Razarus Msimbe SDS alivyokuja kutembelea shuleni kwetu 2024
Form 1 entrance interview 2022
Students who want to join our school doing the interview test here at our school.
2019 Talent Show
Ujumbe wa Upendo
Ujumbe wa Ndugu Riccardo kwa wanafunzi wakati wa siku ya kuonyesha vipaji shuleni Alfagems 2019
Mazoezi ya mahafali
Wanafunzi wakifanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na sherehe za mahafali ya kidato cha nne 2019
Mahafali
mahafali ya kidato cha nne 2018.
Kidato cha Pili
Wanafunzi wa kidato cha pili watembelea kituo cha kulea watoto - Mgolole.
Mahafali
Mahafali ya kidato cha sita 2018
Safari ya kimasomo
Wanafunzi wakihudhuria maeneno mbalimbali - Mikumi National Park 2018.
Kufungua nyumba ya askofu
Ibada ya kulibariki kanisa la Nanenane Morogoro - Kigango cha Mt. Monica, kuwa Parokia, iliambatana na ufunguaji wa nyumba mpya ya askofu.
Michezo
Wanafunzi hufanya michezo ya pamoja wakati wa Mahafali na siku za kawaida kulingana na ratiba ya shule