Downloads
Notifications
"Education is not a way to escape poverty, it is a way to fight it" - Mwl J. K. Nyerere
Uongozi wa shule

Shule ya sekondari Alfagems ni mali ya Jimbo Katoliki la Morogoro.
Tangu ilipoanzishwa inaendeshwa na ndugu Rikardo Maria, padri wa Utawa wa Ndugu Wadogo wa Afrika akishirikiana na bodi ya shule na wadau wengine.