Habari na taarifa mbalimbali


Habari za shule yetu | Tazama habari nyingine | Go Home | Go to events page


MATOKEO YA USAILI KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 YAMETOKA
Posted on: 2022-10-19 12:29:26
Matokeo ya usaili kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2023 uliofanyika tarehe 15/10/2022 yametoka. Fuata kiungo BOFYA HAPA kuona. Karibuni sana.